# Wa Bethlehemu "toka Bethlehemu" # wa jamaa ya Yuda Hii inamaana kuwa alikuwa akiishi kati ya familia ya Yuda, ambalo ni kabila la Yuda. # Alikaa huko ili kutimiza majukumu yake "Alikaa na kufanya kazi huko" # kutafuta mahali pa kuishi "kutafuta sehemu tofauti ya kuishi" # nipate kuishi "ambapo nitaishi na kupata kazi"