# Kulikuwa na mtu
Hii ni njia ya kumtambulisha mtu mwingine katika simulizi.
# Mika
Hili ni jina la mwanaume.
# ambazo zilichukuliwa kutoka kwako
"ambazo mtu aliziiba toka kwako"
# Nimeziiba
"mimi ndiye niliyezichukua"