# Kulikuwa na mtu Hii ni njia ya kumtambulisha mtu mwingine katika simulizi. # Mika Hili ni jina la mwanaume. # ambazo zilichukuliwa kutoka kwako "ambazo mtu aliziiba toka kwako" # Nimeziiba "mimi ndiye niliyezichukua"