sw_tn/jdg/15/07.md

28 lines
358 B
Markdown

# akawaambia
"akawaambia Wafilisti"
# Ikiwa ndivyo mnavyofanya
"kwa sababu mnafanya hivi"
# akawakata vipande vipande, paja na mguu
"Akakata miili yao vipande vipande"
# akashuka chini
"akashuka chini" au "akaenda"
# pango
Sehemu ya wazi iliyopo mlimani.
# Mwamba
mwamba uliopo kwenye mlima.
# Etamu
Hili ni jina la mwamba karibu na Yerusalemu.