# akawaambia "akawaambia Wafilisti" # Ikiwa ndivyo mnavyofanya "kwa sababu mnafanya hivi" # akawakata vipande vipande, paja na mguu "Akakata miili yao vipande vipande" # akashuka chini "akashuka chini" au "akaenda" # pango Sehemu ya wazi iliyopo mlimani. # Mwamba mwamba uliopo kwenye mlima. # Etamu Hili ni jina la mwamba karibu na Yerusalemu.