sw_tn/jdg/15/01.md

24 lines
429 B
Markdown

# Akajiambia mwenyewe
"Akafikiri mwenyewe"
# Nitaenda kwenye chumba cha mke wangu
"Nitaenda kwenye chumba cha mke wangu ili tulale pamoja"
# hakumruhusu aingie
"jakumpa ruhusa aingie chumbani kwake"
# hivyo nikampatia rafiki yako
"Hivyo nikampa aolewe na rafiki yako"
# Je sio?
Anauliza swali hili kuonesha kuwa Samsoni anapaswa kukubali. "Natumaini unakubali"
# Mchukue badala yake
"Mchukue awe mke wako badala yake"