# Akajiambia mwenyewe "Akafikiri mwenyewe" # Nitaenda kwenye chumba cha mke wangu "Nitaenda kwenye chumba cha mke wangu ili tulale pamoja" # hakumruhusu aingie "jakumpa ruhusa aingie chumbani kwake" # hivyo nikampatia rafiki yako "Hivyo nikampa aolewe na rafiki yako" # Je sio? Anauliza swali hili kuonesha kuwa Samsoni anapaswa kukubali. "Natumaini unakubali" # Mchukue badala yake "Mchukue awe mke wako badala yake"