sw_tn/jdg/14/16.md

28 lines
658 B
Markdown

# Yote unayoyafanya ni kunichukia! Hunipendi
"Hunipendi mimi kabisa"
# Kitendawili
Huu ni mchezo ambao wachezaji wanatakiwa wagundue jibu kutokana na swali gumu.
# Angalia hapa
"angalia" inamanisha "sikiliza" "nisikilize mimi" au "kuwa makini kwa ninachotaka kukwambia"
# kama sijawaambia baba yangu au mama yangu, nikuambie wewe?
Samsoni anamkemea mke wake baada ya mkewe kumlazimisha amwambie jibu.
# kwa siku saba ambazo sikukuu yao iliendelea
Yaweza kuwa na maana ya 1)"katika siku saba za sikukuu yao" au 2) "katika siku saba zilizobaki za sikukuu yao"
# Siku ya saba
"siku ya 7"
# Alimlazimisha sana
"Aliendelea kumlazimisha ili amwambie"