sw_tn/jdg/13/19.md

20 lines
431 B
Markdown

# sadaka ya nafaka
Sheria hii inataka sadaka ya nafaka itolewe wakati sadaka ya kuteketezwa inatolewa.
# juu ya mwamba
"juu ya madhabahu"
# Alifanya jambo
"Malaika alifanya jambo"
# malaika wa Bwana akapanda katika moto wa madhabahu
"malaika wa Bwana akarudi mbinguni kupitia miale ya moto juu ya madhabahu"
# wakainamisha vichwa vyao chini
Hii ni ishara ya utii na heshima lakini pia inaonesha walikuwa na hofu ya Bwana.