sw_tn/jdg/13/01.md

24 lines
449 B
Markdown

# yaliyo mabaya machoni pa Bwana
"machoni pa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani.
# akawatia mikononi mwa Wafilisti
"mkono" inamaanisha nguvu ya kushinda vitani. "aliruhusu Wafilisti wawashinde"
# Miaka arobaini
"miaka 40"
# Sora
Hili lilikuwa jina la mji katika Israeli. Ilikuwa katika mji wa Yuda karibu na mpaka wa Dani.
# Wadani
Watu wa kabila la Dani.
# Manoa
Hili ni jina la mwanaume.