# Alizikwa Bethlehemu.
"wakamzika Bethlehemu"
# Eloni
Hili ni jina la mwanaume.
# Mzabuloni
Mtu kutoka kabila la Zabuloni.
# Aiyaloni
Hili ni jina la mahali.
# akazikwa huko Aiyaloni
"wakamzika huko Aiyaloni"