# Alizikwa Bethlehemu. "wakamzika Bethlehemu" # Eloni Hili ni jina la mwanaume. # Mzabuloni Mtu kutoka kabila la Zabuloni. # Aiyaloni Hili ni jina la mahali. # akazikwa huko Aiyaloni "wakamzika huko Aiyaloni"