sw_tn/jdg/11/36.md

12 lines
350 B
Markdown

# amekulipia kisasi juu ya adui zako, wana wa Amoni
"amekulipa kisasi juu ya adui zako, wana wa Amoni kwa kuwashinda wao"
# Hebu ahadi hii ihifadhiwe kwa ajili yangu
"Itunze ahadi hii kwa ajili yangu" au "itunze ahadi hii kuhusu mimi"
# kuomboleza juu ya ubikira wangu
"kuomboleza kwa sababu mimi ni bikira" au "kuomboleza kwa sababu sitaolewa"