# amekulipia kisasi juu ya adui zako, wana wa Amoni "amekulipa kisasi juu ya adui zako, wana wa Amoni kwa kuwashinda wao" # Hebu ahadi hii ihifadhiwe kwa ajili yangu "Itunze ahadi hii kwa ajili yangu" au "itunze ahadi hii kuhusu mimi" # kuomboleza juu ya ubikira wangu "kuomboleza kwa sababu mimi ni bikira" au "kuomboleza kwa sababu sitaolewa"