sw_tn/jdg/11/26.md

32 lines
599 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Mjumbe wa Yeftha anaendelea kuzungumza.
# Miaka mia tatu
"miaka 300"
# Heshboni
Hili ni jina la mji.
# Aroeri
Hili ni jina la mji.
# Arnoni
Hili ni jina la mji.
# kwa nini hamkuwachukua tena wakati huo?
"Mngewachukua tena wakati huo" au "sasa mmechelewa; mngewachukua wakati huo."
# ijawafanyia vibaya, lakini mnanifanyia vibaya kwa kunishambulia
Yeftha anazungumza na Sihoni. "Waisraeli hawajakufanyia mabaya, lakini watu wako wanatutendea mabaya kwa kutushambulia.
# kuwatenda mabaya ... kunitendea mabaya
Kumtendea mtu mabaya inamaana kumfanyia mtu jambo baya.