# Taarifa ya jumla:
Mjumbe wa Yeftha anaendelea kuzungumza.
# Sihoni
Hili ni jina la mwanaume.
# akamtia Sihoni na watu wake wote mkononi mwa Israeli
"mkono" inamaanisha nguvu ya kushinda vitani.
# Arnoni ... Yaboki
Haya ni majina ya mito.