# Taarifa ya jumla: Mjumbe wa Yeftha anaendelea kuzungumza. # Sihoni Hili ni jina la mwanaume. # akamtia Sihoni na watu wake wote mkononi mwa Israeli "mkono" inamaanisha nguvu ya kushinda vitani. # Arnoni ... Yaboki Haya ni majina ya mito.