sw_tn/jdg/11/19.md

24 lines
446 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Mjumbe wa Yeftha anaendelea kuzungumza.
# Israeli wakatuma wajumbe kwa Sihoni
Wajumbe walitumwa na viongozi wa Israeli.
# Sihoni
Hili ni jina la mtu.
# Heshboni ... Yahasa
Haya ni majina ya miji.
# Lakini Sihoni hakumwamini Israeli apite katika eneo lake
Sihoni hakumuamini Israeli apite katika nchi yake kwa amani.
# Akapigana huko
Sihoni anawakilisha jeshi lake. "wakapigana huko" au "jeshi lake likapigana huko"