# Taarifa ya jumla: Mjumbe wa Yeftha anaendelea kuzungumza. # Israeli wakatuma wajumbe kwa Sihoni Wajumbe walitumwa na viongozi wa Israeli. # Sihoni Hili ni jina la mtu. # Heshboni ... Yahasa Haya ni majina ya miji. # Lakini Sihoni hakumwamini Israeli apite katika eneo lake Sihoni hakumuamini Israeli apite katika nchi yake kwa amani. # Akapigana huko Sihoni anawakilisha jeshi lake. "wakapigana huko" au "jeshi lake likapigana huko"