sw_tn/jdg/10/01.md

28 lines
392 B
Markdown

# Tola ... Pua ... Dodo
Haya ni majina ya wanaume.
# Shamiri
Hili ni jina la mahali.
# akaondoka ili kuwaokoa Israeli
"akaenda kuwaokoa Israeli" au "akawa kiongozi na kuwaokoa Israeli"
# kuwaokoa Israeli
"Israeli" inawakilisha watu wa Israeli.
# Akawa mwamuzi wa Israeli
"kuamua" inamaanisha kuwaongoza watu wa Israeli.
# Miaka ishirini na tatu
"Miaka 23"
# Akazikwa
"wakamzika"