# Tola ... Pua ... Dodo Haya ni majina ya wanaume. # Shamiri Hili ni jina la mahali. # akaondoka ili kuwaokoa Israeli "akaenda kuwaokoa Israeli" au "akawa kiongozi na kuwaokoa Israeli" # kuwaokoa Israeli "Israeli" inawakilisha watu wa Israeli. # Akawa mwamuzi wa Israeli "kuamua" inamaanisha kuwaongoza watu wa Israeli. # Miaka ishirini na tatu "Miaka 23" # Akazikwa "wakamzika"