sw_tn/jdg/09/22.md

20 lines
491 B
Markdown

# tatu
"3"
# Mungu alituma roho mbaya kati ya Abimeleki na viongozi wa Shekemu
Hii inamaanisha kuwa Mungu aliifanyia kazi laana aliyoitoa Yotamu kwa kutuma roho mbaya isababishe tatizo kati ya Abimeleki na viongozi wa Shekemu.
# Mungu alifanya hivyo ili uhalifu uliofanywa ... walimsaidia kuua ndugu zake.
"Mungu alifanya hivi ili kulipiza kisasi cha wana sabini ambao waliuawa na Abimeleki na watu wa Shekemu wakamsaidia"
# Sabini
"70"
# Yerubaali
Hili ni jina lingine la Gideoni.