sw_tn/jdg/08/34.md

16 lines
250 B
Markdown

# kutoka kwa mikono ya adui
"mkono" unawakilisha nguvu na utawala. "toka kwenye nguvu za adui zao wote"
# Kila upande
"waliowazunguka"
# Nyumba ya Yerubaali.
"nyumba ya" inawakilisha familia ya mtu.
# Yerubaali
Hili ni jina lingine la Gideoni