# kutoka kwa mikono ya adui "mkono" unawakilisha nguvu na utawala. "toka kwenye nguvu za adui zao wote" # Kila upande "waliowazunguka" # Nyumba ya Yerubaali. "nyumba ya" inawakilisha familia ya mtu. # Yerubaali Hili ni jina lingine la Gideoni