sw_tn/jdg/08/32.md

32 lines
592 B
Markdown

# uzee mzuri
"Alipokuwa mzee"
# Akazikwa
Inaweza kuandikwa hivi "wakamzika"
# Ofra
Hili ni jina la mji.
# jamaa ya Abiyezeri
Hili ni kundi la watu toka katika uzao wa Abiezeri.
# Ikawa
Hii hutumika kuonesha mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. Kama lugha yako ina njia nyingine ya kufanya hivi unaweza kuitumia.
# wakageuka tena
Watu walimkataa Bwana na hii imefananishwa na kitendo cha kugeuka toka kwake. "waliacha kumuabudu Bwana"
# kujifanyia ukahaba wenyewe kwa kuabudu Mabaali
Kuabudu miungu ya uongo inafananishwa na ukahaba.
# Baali Berith
Hili ni jina la mungu wa uongo