# uzee mzuri "Alipokuwa mzee" # Akazikwa Inaweza kuandikwa hivi "wakamzika" # Ofra Hili ni jina la mji. # jamaa ya Abiyezeri Hili ni kundi la watu toka katika uzao wa Abiezeri. # Ikawa Hii hutumika kuonesha mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. Kama lugha yako ina njia nyingine ya kufanya hivi unaweza kuitumia. # wakageuka tena Watu walimkataa Bwana na hii imefananishwa na kitendo cha kugeuka toka kwake. "waliacha kumuabudu Bwana" # kujifanyia ukahaba wenyewe kwa kuabudu Mabaali Kuabudu miungu ya uongo inafananishwa na ukahaba. # Baali Berith Hili ni jina la mungu wa uongo