sw_tn/jdg/08/26.md

16 lines
302 B
Markdown

# shekeli 1,700 za dhahabu
Ukitumia njia za kisasa kuonesha ukubwa wake yaweza kuwa "kilogramu 18.7 za dhahabu" au "karibu kilogramu 20 za dhahabu"
# mapambo ya makoja
"mapambo"
# Vidani
Ni pambo linaloning'inia shingoni.
# Iliyovaliwa na wafalme wa Midiani.
"Ambazo Wafalme wa Midiani walivaa"