# shekeli 1,700 za dhahabu Ukitumia njia za kisasa kuonesha ukubwa wake yaweza kuwa "kilogramu 18.7 za dhahabu" au "karibu kilogramu 20 za dhahabu" # mapambo ya makoja "mapambo" # Vidani Ni pambo linaloning'inia shingoni. # Iliyovaliwa na wafalme wa Midiani. "Ambazo Wafalme wa Midiani walivaa"