sw_tn/jdg/07/24.md

16 lines
342 B
Markdown

# Bethbara
Hili ni jina la mji.
# walikusanyika pamoja na kumiliki maji, mpaka Bethbara na Mto Yordani
"na kumiliki eneo la mto Yordani mpaka Bethbara"
# Orebu ... Zeebu
Haya ni majina ya wanaume.
# mwamba wa Orebu ... katika shinikizo la divai la Zeebu
Haya ni maeneo ambayo yalipewa majina baada ya Waisraeli kumuuwa Orebu na Beebu.