# Bethbara Hili ni jina la mji. # walikusanyika pamoja na kumiliki maji, mpaka Bethbara na Mto Yordani "na kumiliki eneo la mto Yordani mpaka Bethbara" # Orebu ... Zeebu Haya ni majina ya wanaume. # mwamba wa Orebu ... katika shinikizo la divai la Zeebu Haya ni maeneo ambayo yalipewa majina baada ya Waisraeli kumuuwa Orebu na Beebu.