sw_tn/jdg/07/05.md

12 lines
173 B
Markdown

# Gideoni akawapeleka
"kuwapeleka" inaweza kutafsiriwa kama "kuwachukua" au "kuwaongoza"
# kulamba
"kunywa maji kwa kuyalamba kutumia ulimi"
# Watu mia tatu
"watu 300"