# Gideoni akawapeleka "kuwapeleka" inaweza kutafsiriwa kama "kuwachukua" au "kuwaongoza" # kulamba "kunywa maji kwa kuyalamba kutumia ulimi" # Watu mia tatu "watu 300"