sw_tn/jdg/07/04.md

4 lines
184 B
Markdown

# nitafanya idadi yao iwe ndogo kwa ajili yako
"idadi" inawakilisha jeshi. Sentensi hii yaweza kuwa "nitakuonesha ni akina nani wa kuwarudisha nyumbani ili jeshi liwe na watu kidogo"