# nitafanya idadi yao iwe ndogo kwa ajili yako "idadi" inawakilisha jeshi. Sentensi hii yaweza kuwa "nitakuonesha ni akina nani wa kuwarudisha nyumbani ili jeshi liwe na watu kidogo"