sw_tn/jdg/07/01.md

16 lines
316 B
Markdown

# Yerubaali
Hili ni jina lingine la Gideoni.
# Wakaweka kambi
"wakatengeneza kambi yao"
# Chemchemi ya Harodi ... kilima cha More
Haya ni majina ya mahali.
# Kambi ya Midiani ilikuwa kaskazini mwao
"Midiani" inawakilisha jeshi la Wamidiani. "Jeshi la Wamidiani liliweka kambi kaskazini mwa jeshi la Israeli"