# Yerubaali Hili ni jina lingine la Gideoni. # Wakaweka kambi "wakatengeneza kambi yao" # Chemchemi ya Harodi ... kilima cha More Haya ni majina ya mahali. # Kambi ya Midiani ilikuwa kaskazini mwao "Midiani" inawakilisha jeshi la Wamidiani. "Jeshi la Wamidiani liliweka kambi kaskazini mwa jeshi la Israeli"