sw_tn/jdg/06/22.md

28 lines
503 B
Markdown

# Malaika wa Bwana
Bwana akamtokea Gidioni kwa mfano wa Malaika.
# Ewe Bwana MUNGU!
"ewe" hii inaonesha kuwa Gidioni alikuwa na hofu.
# nimemwona malaika wa Bwana uso kwa uso
Hii inaelezea namna ambavyo watuu wawili wapo karibu. "nimemwona kabisa malaika wa Bwana"
# Bwana akamwambia
Bwana alizungumza na Gidioni toka mbinguni.
# Hadi leo
Hii inamaanisha wakati ambao kitabu kitabu cha Waamuzi kimeandikwa.
# Ofra
Hili ni jina la mji.
# jamaa ya Abiezeri
Hili ni kundi la watu wa Abiezeri.