sw_tn/jdg/06/16.md

12 lines
232 B
Markdown

# Nitakuwa pamoja nawe.
Hii inamaanisha kuwa Bwana atamsaidia na kumbariki Gidioni.
# kama mtu mmoja
Hii yaweza kuwa na maana ya "itakuwa rahisi kama vile unapigana na mtu mmoja tuu.
# kuiweka mbele yako
"kukuwekea mbele yako"