# Nitakuwa pamoja nawe. Hii inamaanisha kuwa Bwana atamsaidia na kumbariki Gidioni. # kama mtu mmoja Hii yaweza kuwa na maana ya "itakuwa rahisi kama vile unapigana na mtu mmoja tuu. # kuiweka mbele yako "kukuwekea mbele yako"