sw_tn/jdg/06/11.md

24 lines
405 B
Markdown

# Sasa
Hapa msimuliaji anaanza kueleza sehemu mpya ya simulizi.
# Malaika wa Bwana
Bwana anamtokea Gidioni kwa mfano wa malaika.
# Ofra
Hili ni jina la mji.
# Abiyezeri
Hili ni kundi la watu waliojiita baada ya babu yao Abiyezeri.
# akitenganisha ngano katika sakafu
Hii ni hatua ya kupura nafaka. Gidioni alipura nafaka katika sakafu ili kutenganisha ngano na makapi.
# Akamtokea
"akamwendea"