# Sasa Hapa msimuliaji anaanza kueleza sehemu mpya ya simulizi. # Malaika wa Bwana Bwana anamtokea Gidioni kwa mfano wa malaika. # Ofra Hili ni jina la mji. # Abiyezeri Hili ni kundi la watu waliojiita baada ya babu yao Abiyezeri. # akitenganisha ngano katika sakafu Hii ni hatua ya kupura nafaka. Gidioni alipura nafaka katika sakafu ili kutenganisha ngano na makapi. # Akamtokea "akamwendea"