sw_tn/jdg/05/31.md

16 lines
326 B
Markdown

# Waache wale wanaompenda
"Waache wale wanaompenda Bwana"
# kama jua wakati linapoongezeka katika uwezo wake
Watu wa Israeli walitamani kuwa kama jua linapowaka kwa sababu hakuna jeshi lolote lenye nguvu ya kulizuia jua.
# Nchi ilikuwa na amani
"nchi" inawakilisha watu wa Israeli.
# Kwa miaka arobaini
"kwa miaka 40"