# Waache wale wanaompenda "Waache wale wanaompenda Bwana" # kama jua wakati linapoongezeka katika uwezo wake Watu wa Israeli walitamani kuwa kama jua linapowaka kwa sababu hakuna jeshi lolote lenye nguvu ya kulizuia jua. # Nchi ilikuwa na amani "nchi" inawakilisha watu wa Israeli. # Kwa miaka arobaini "kwa miaka 40"