sw_tn/jdg/05/21.md

20 lines
441 B
Markdown

# Mto Kishoni uliwaondoa
Kwa sababu ya mvua kubwa mto ulijaa haraka na ukasababisha magari yakwame kwenye tope na askari wengi kukwama.
# Kishoni
Hili ni jina la mto.
# Endelea mbele nafsi yangu, jipe nguvu
"nafsi" inamaanisha mtu. "yangu" ina maanisha Debora.
# Kisha sauti za hofu za farasi-kupiga mbio, kupigana kwa watu wake wenye nguvu.
Hii inaelezea sauti ya farasi wengi wakikimbia toka vitani.
# kupiga mbio
kukimbia haraka