# Mto Kishoni uliwaondoa Kwa sababu ya mvua kubwa mto ulijaa haraka na ukasababisha magari yakwame kwenye tope na askari wengi kukwama. # Kishoni Hili ni jina la mto. # Endelea mbele nafsi yangu, jipe nguvu "nafsi" inamaanisha mtu. "yangu" ina maanisha Debora. # Kisha sauti za hofu za farasi-kupiga mbio, kupigana kwa watu wake wenye nguvu. Hii inaelezea sauti ya farasi wengi wakikimbia toka vitani. # kupiga mbio kukimbia haraka