sw_tn/jdg/05/15.md

28 lines
611 B
Markdown

# Na wakuu wangu katika Isakari walikuwa pamoja na Debora
"wangu" ina maanisha Debora. Sentensi hii inaweza kuandikwa "Na wakuu wangu katika Isakari walikuwa pamoja nami"
# Debora
Hili ni jina la mwanamke.
# Isakari alikuwa na Baraka
"Isakari" ni kabila la Isakari.
# Baraka
hili ni jina la mwanaume.
# waliingia bondeni kwa kasi chini ya amri yake.
"kutii amri zake na kumfuata bondeni"
# Kumfuata
"kumfuata nyuma kwa kasi"
# kulikuwa na utafutaji mkubwa wa moyo.
"moyo" inawakilisha fikra. Watu kujadili wao kwa wao lakini wakashindwa kuamua nini cha kufanya inafananishwa na kutafuta mioyo yao.