# Na wakuu wangu katika Isakari walikuwa pamoja na Debora "wangu" ina maanisha Debora. Sentensi hii inaweza kuandikwa "Na wakuu wangu katika Isakari walikuwa pamoja nami" # Debora Hili ni jina la mwanamke. # Isakari alikuwa na Baraka "Isakari" ni kabila la Isakari. # Baraka hili ni jina la mwanaume. # waliingia bondeni kwa kasi chini ya amri yake. "kutii amri zake na kumfuata bondeni" # Kumfuata "kumfuata nyuma kwa kasi" # kulikuwa na utafutaji mkubwa wa moyo. "moyo" inawakilisha fikra. Watu kujadili wao kwa wao lakini wakashindwa kuamua nini cha kufanya inafananishwa na kutafuta mioyo yao.