sw_tn/jdg/05/11.md

12 lines
220 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Wimbo wa Debora na Baraka unaendelea.
# Sikiliza sauti za wale
"sauti" inawakilisha watu wakiimba.
# wakashuka kwenye malango ya mji.
"malango" inawakilisha mji mzima. "wakarudi kwenye miji yao"