# Taarifa ya jumla: Wimbo wa Debora na Baraka unaendelea. # Sikiliza sauti za wale "sauti" inawakilisha watu wakiimba. # wakashuka kwenye malango ya mji. "malango" inawakilisha mji mzima. "wakarudi kwenye miji yao"