sw_tn/jdg/03/12.md

24 lines
524 B
Markdown

# yaliyo mabaya machoni pa Bwana
"machoni mwa Bwana" inawakilisha kitu ambacho Bwana anakifikiria au kuwaza juu ya jambo fulani
# Bwana akampa Egloni mfalme wa Moabu nguvu
"Bwana akamfanya Elgoni mfalme wa Moabu kuwa na nguvu"
# Egloni mfalme wa Moabu, kuwashinda Waisraeli
"Egloni mfalme wa Moabu" inawakilisha jeshi lake. "Egloni mfalme wa Moabu na askari wake wakavamia jeshi la Israeli"
# Egloni
Hili ni jina la mfalme.
# mji wa Mitende.
Hili ni jina lingine la mji wa Yeriko.
# Miaka kumi na nane
"miaka 18"